Ni lugha kama hizi zimesababisha nimekosa hamu kabisa ya kusikiliza vikao vya Bunge. Siwezi kuivumilia hii lugha. Ni sehemu ambayo nilipaswa kuwa nasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana.
Wednesday, April 24, 2013
Friday, April 19, 2013
MABUNGE NA VITUKO VYAKE DUNIANI
![]() |
| moja ya patashika baina ya wabunge iliyowahi kutokea katika Bunge laM Italy. |
![]() |
| Russia nako ndo wale wale... |
![]() |
| Nchini Somali ndio kabisaaaaaa... kama huna ubavu lazima usepe... |
![]() |
| Huko Ukraine Polisi huwa hawabembelezi kama hapa kwetu... mkileta fujo mabomu ya machozi yanapigwa hata Bungeni. |
![]() |
| Wenzetu wa South Korea nao hawako nyumba. |
![]() |
| Hii ilipata kutokea katika Bunge la Mexico. |
![]() |
| Hili ni Bunge la India. |
Thursday, April 18, 2013
JK aongoza mazishi ya Bi kidude znz
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania ,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la
Msanii mkongwe wa Muziki wa Mwambao (Taarab) Tanzania,Marehemu Fatma
Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja jana. Chanzo: Muhidin Michuzi
source:Mjengwa blog
Tuesday, April 16, 2013
Taarifa za habari: Kauli zinazofanana na hizi ndizo Spika kasema ataziitia Polisi
Ni lugha kama hizi zimesababisha nimekosa hamu kabisa ya kusikiliza vikao vya Bunge. Siwezi kuivumilia hii lugha. Ni sehemu ambayo nilipaswa kuwa nasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana.
Source: http://www.wavuti.com
Sunday, April 7, 2013
Muasisi Wa Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Akumbukwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa
Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao
Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013. Picha: IKULU
Sunday, March 31, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)








