Sunday, August 3, 2014

HONGERA PASTOR MYAMBA - KAMERA YA MAISHA INAKUKARIBISHA RASMI

Ni majuzi tu msanii maarufu nchini Tanzania kwa Jina la Emmanuel Myamba a.k.a Pastor Myamba amefunga ndoa ya kipekee huko visiwani zanzibar na mke wake mpendwa Praxceda; Harusi hiyo ilifanyika zanzibar ambako Dadayake Mkubwa Grace Myamba a.k.a Teacher,  anaishi na aliyekuwa mratibu  wa shughuli nzima.





Ikumbukwe kuwa Pastor myamba aliwahi kuishi zanzibar kabla kuwa msanii maaarufu; Hivyo Zanzibar sio ngeni kwa pastor Myamba.


kabala ya Harusi yake tarehe 2/8 ilitanguliwa na send off ambayo ilifanyika tarehe 30/7/2014 Huko Dar es salaam.
Jiunge na Kamera ya maishi kwa kuziangalia picha za matukio haya mawili yanayowahusiha Mr and Mrs Emmanuel Myamba

Pmyamba

10563092_748575291870452_3593910751091734179_n

10577195_748845775176737_7071024044102009779_n
























































Tuesday, June 17, 2014

MASTAA WA BONGO MOVIE WANUSURIKA KATIKA AJALI YA GARI

Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere akibadilisha tairi
Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere akibadilisha tairi
Wasanii nyota wa filamu ‘Bongo Movie’ wakiongozwa na mwenyekiti wao Steve Nyerere wamenusurika katika ajali mbaya ya gari  iliyotokea maeneo jirani na Chalinze wakiwa njiani kuelekea Dar wakitokea mjini Dodoma walipoenda kuhudhuria Tamasha la Uzalendo pamoja na Uzinduzi wa video ya wimbo wa miaka 50 wikiendi iliyopita.


Chanzo cha ajali hiyo kimetajwa kuwa ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Brevis lenye nambari za usajili T 200 CRY hata hivyo Hakuna mtu aliyeripotiwa kufa wala kujeruhiwa. Vicent Kigosi ‘Ray’, Shamsa Ford, Irene Uwoya, Johari na Jaccob Steven ‘JB’ ni miongoni mwa wasanii waliokuwepo eneo la tukio.
Maisha Matamu, Johari na Shamsa Ford katika picha baada ya kunusurika ajalini
Maisha Matamu, Johari na Shamsa Ford katika pozi, baada ya kunusurika ajalini
Brevis
  
TairiWadau wakitoa msaada
source: matukiotz.com

ANGALIA PICHA ZA WASANII WALIPOKULA CHAKULA CHA JIONI IKULU NDOGO DODOMA NA RAIS KIKWETE

 Msanii Jb akiteta na Rais Kikwete
 Rais Kikwete akionge na Ommy Dimpoz alipompa kazi yake

 Ommy Dimpoz akichukua chakula
 Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe
 
 Rais Kikwete Akifurahi na Msanii Mrisho Mpoto


 Wasanii Izo B na Quick Racka wakichukua chakula
 Ruge Mutahaba na Sebastian Maganga
 Queen Darleen akichukua chakula
 Ridhiwan Kikwete Mbunge wa chalinze akichuka chakula
 Shilole na Mbebe wakee

source: matukiotz.com