Saturday, August 10, 2013

Umeshawahi kuona picha ya Marais wanne wote wa Kenya ndani ya chumba kimoja?

image

Hakuna yoyote aliyetarajia kushuhudia picha hii ikiwa na historia zilizofanana kwa wote waliojitokeza ndani yake .

Upande wa kushoto ni rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta akifatiwa na mtoto wake amba,e wakati huo alikuwa mdogo sana kiumri Uhuru Muigai Kenyatta ambaye ndiye rais wa sasa wa Kenya….  aliyeinama kidogo ni Rais wa tatu wa Kenya Emilio Mwai Kibaki ambaye wakati huo alikuwa na wadhifa mkubwa kwenye serikali ya Mzee Kenyatta na hivi karibuni yeye (kibaki) ndio aliyemkabidhi Uhuru Kenyatta madaraka baada ya kuongoza kama rais wa tatu wa Kenya na aliyesimama ni Rais wa pili wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi .

Marais Wote hawa ndani ya picha moja, haijawahi kutokea,

 source:

Monday, August 5, 2013

jk na marais wastaafu katika futari ya pamoja




sf1 80f0e
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya nne Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wa futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili
sf5 da738source:mjengwa blog