Monday, April 29, 2013

MAMBO YANEENDELEAJE HUKO BUNGENI???????

Rais Jakaya Kikwete(Kulia)akijadili jambo Muhimu na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Hivi Karibuni

Friday, April 19, 2013

MABUNGE NA VITUKO VYAKE DUNIANI


moja ya patashika baina ya wabunge iliyowahi kutokea katika Bunge laM Italy.

Russia nako ndo wale wale...

Nchini Somali ndio kabisaaaaaa... kama huna ubavu lazima usepe...

Huko Ukraine Polisi huwa hawabembelezi kama hapa kwetu... mkileta fujo mabomu ya machozi yanapigwa hata Bungeni.

Wenzetu wa South Korea nao hawako nyumba.

Hii ilipata kutokea katika Bunge la Mexico.

Hili ni Bunge la India.


Thursday, April 18, 2013

JK aongoza mazishi ya Bi kidude znz

10 b94f4

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Msanii mkongwe wa Muziki wa Mwambao (Taarab) Tanzania,Marehemu Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jana. Chanzo: Muhidin Michuzi

source:Mjengwa blog

VITUKO BUNGENI NA WATUNGA SHERIA ZETU








Tuesday, April 16, 2013

Taarifa za habari: Kauli zinazofanana na hizi ndizo Spika kasema ataziitia Polisi


Ni lugha kama hizi zimesababisha nimekosa hamu kabisa ya kusikiliza vikao vya Bunge. Siwezi kuivumilia hii lugha. Ni sehemu ambayo nilipaswa kuwa nasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana.

Sunday, April 7, 2013

Muasisi Wa Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Akumbukwa


b9 16c79
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013. Picha: IKULU