![]() |
moja ya patashika baina ya wabunge iliyowahi kutokea katika Bunge laM Italy. |
![]() |
Russia nako ndo wale wale... |
![]() |
Nchini Somali ndio kabisaaaaaa... kama huna ubavu lazima usepe... |
![]() |
Huko Ukraine Polisi huwa hawabembelezi kama hapa kwetu... mkileta fujo mabomu ya machozi yanapigwa hata Bungeni. |
![]() |
Wenzetu wa South Korea nao hawako nyumba. |
![]() |
Hii ilipata kutokea katika Bunge la Mexico. |
![]() |
Hili ni Bunge la India. |
No comments:
Post a Comment