Mke wa marehemu Michael (katikati) akilia kwa uchungu.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova akiteta jambo na MC wa shughuli huyo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mecki Sadick, akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu.
IGP Mangu akitoa salam za rambirambi.
…Akipita kuaga miili ya marehemu.
Kamanda Kova akipita kuaga miili ya marehemu.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akisalimiana na mke wa
marehemu Michael. ASKARI wawili wa jeshi la polisi waliouwawa na kuporwa
bunduki aina ya SMG huko Mkuranga mkoani Pwani wameangwa leo katika
ofisi za polisi zilizoko Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
source: matukio na vijana
No comments:
Post a Comment