Baada ya msimu mrefu hatimaye Dar Young Africans wamekabidhiwa mwali wao
baada ya kuwa mabingwa. Mrisho Ngasa amewarushia jezi mashabiki wa
Yanga baada ya mchezo kumalizika na kuvalishwa medaliLicha ya mvua
kunyesha lakini mashabiki walibakia hadi mwisho kuona jinsi timu yao
inavyokabidhiwa kombe. Mwisho wa mchezo timu ya Azam lishinda 2 na Yanga
1.