Thursday, May 7, 2015

VIDEO ZA YANGA WAKIKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI KUU NDANI YA UWANJA WA TAIFA

4

Baada ya msimu mrefu hatimaye Dar Young Africans wamekabidhiwa mwali wao baada ya kuwa mabingwa. Mrisho Ngasa amewarushia jezi mashabiki wa Yanga baada ya mchezo kumalizika na kuvalishwa medaliLicha ya mvua kunyesha lakini mashabiki walibakia hadi mwisho kuona jinsi timu yao inavyokabidhiwa kombe. Mwisho wa mchezo timu ya Azam lishinda 2 na Yanga 1.

1

2
3
5
6


No comments:

Post a Comment