Thursday, October 29, 2015

RAIS KIKWETE AMPONGEZA DK. MAGUFULI IKULU

RAIS Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais mteule, Dk. John Magufuli baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Kikwete na Dk. Magufuli walifuatilia matangazo ya moja kwa moja yaliyokuwa yakitolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiwa Ikulu, Dar es Salaam.

RAIS Jakaya Kikwete akimpa mkono wa pongezi Dk. Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

source: ccmnumberone.blogspot.com

No comments:

Post a Comment