Monday, September 30, 2013

mvua yaleta uharibifu dar



DSC 0021 f742fDSC 0022 14c5bDSC 0023 4dca7DSC 0024 84ae1DSC 0025 b53a6DSC 0029 f1a78DSC 0030 1cf2fDSC 0032 619abDSC 0034 100afDSC 0037 9e07cDSC 0039 5707dDSC 0040 ef65eDSC 0043 7a393DSC 0044 93088
Mvua kubwa iliyonyesha kwa dk 45 leo jijini DSM imesababisha uharibifu mkubwa wa mali za watu maeneo ya Magomeni,Mwembechai,Kagera na Manzese. zaidi ikichangiwa na ujenzi wa barabara usiyo  na mifereji ya maji,wananchi wamekuwa wakilaumu mamlaka husika kwamba hazifuatilii kwa usahihi ujenzi wa barabara ya mradi wa mabasi yaendayo kasi.
Picha na HUDUGU NG'AMILO (mjengwablog DSM)

No comments:

Post a Comment