Thursday, November 29, 2012

UBINADAMU WETU NI WA KUIGIWA MFANO JAPO NI HATARI


Vijana wakiwa wamepanda  mnazi kuona mazishi ya aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu, Hussein Ramadhani maarufu kwa jina la Sharo Milionea,leo kwenye Kijiji cha  Lusanga, Muheza Tanga. (Picha na Bashir Nkoromo).







Taswira hizi mbili ni wakati wa mazishi ya Msanii Kanumba

Tuesday, November 27, 2012

Tuesday, November 13, 2012

jk alisema kali gani hapa duhh hebu cheki..


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahi sambamba na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) wakati wa zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa nafasi hizo, katika Mkutano Mkuu wa nane wa CCM unaomalizika leo kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma. Source: hisani ya Fadhili Akida wa Habarileo.

Monday, November 12, 2012

Saturday, November 3, 2012

Freeman Mbowe alipomfagilia JK kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu...




  • Kama Taifa na siasa zetu zitaangalia kuelekeza nguvu katika maendeleo ya wananchi tutakuwa tumefanikiwa sana;



  • Kwa hili Mheshimiwa Mbowe anastahili pongezi maendeleo kwanza na kwa faida ya wananchi;


Hongera Mbowe, umeonyesha ukomavu wa Demokrasia.

OBAMA vs ROMNEY


Obama vs Romney toa maoni yako unavyo jisikia juu ya picha hizo mbili kila mtu 
na mtazamo wake mimi wewe yule ect..

Thursday, November 1, 2012

TASWIRA HIZI SINAKUPA HISIA YEYOTE YA KIELELEZO CHA MAENDELEO YA DEMOKRASIA NDANI YA TAIFA LETU TANZANIA



















TAIFA NA MFUMO DUME;


  • Je mfumo dume ni chanzo cha maendeleo ndani ya familia na hatimaye kwa Taifa kwa ujumla wake?



  • Nini chanzo cha Mfumo huu Dume?



  • Je katiba mpya itasaidia kuondoa huu Mfumo dume?



  • Je kweli kuwa wanawake wanatafuta nafasi za uongozi kwa upendeleo na sio kwa uwezo wao kiakili?


Hebu Tujadiliane pamoja

CHECK THIS: Tired of Bronco Bamma and Mitt Romney



So what is going inside her mind?