Tuesday, November 13, 2012

jk alisema kali gani hapa duhh hebu cheki..


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahi sambamba na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) wakati wa zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa nafasi hizo, katika Mkutano Mkuu wa nane wa CCM unaomalizika leo kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma. Source: hisani ya Fadhili Akida wa Habarileo.

No comments:

Post a Comment