
Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba
jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa
Habari na Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka
salama. (picha, maelezo: SufianiMafoto blog
Source: http://www.wavuti.com
No comments:
Post a Comment