Monday, October 29, 2012

JE KWELI WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI WANATEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO?



  • Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameelezee kwa ufupi utendaji wa serikali na amekubali kuwa kuna changamoto kubwa katika kufikia malengo yalikyokusudiwa kwa wananchi kutokana na sababu tofauti;



  • Je ukiwaangalia mawaziri wetu ni mawaziri gani kweli wanatekeleza majukumu yao kwa dhati kwa faida ya Taifa kwa kiwango cha juu?



  • na kwa wale ambao unafikiri wameshindwa kutekeleza au kusimamia majuku yao kwa kiwango kinachotakiwa nini kifanyike dhidi yao?


Hebu tushirikishe mawazo yako kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu utendaji wa mawaziri wetu na watumishi wakuu wa serikali;

1 comment:

  1. big up Dr. Magufuli, Dr. Mwakyembe Prof. Tibaijuka ni miongoni mwa watendaji wanzuri ambao wanazingatia kazi zao nakuonyesha mfano kwa wengine; sio vibaya wale viongozi wanaochechemea katika utendaji kujifunza na kuomba msaada tuko kwao wa namna ya kutekeleza majukumu yako.

    ReplyDelete