Sunday, October 28, 2012

UWEZO WA WANASIASA WETU UNAPIMWA KWA KIGEZO GANI WAKATI WA KAMPENI?




  • Kampeni za stahili hii zitaweza kulisaidia Taifa letu katika maendeleo ya wananchi wao?



  • Kiongozi mwenye dhamana ndani ya Chama chake anapofanya kampeni za matusi tutegemee nini?



  • Hata kama aliomba radhi Nafikiri hii itabaki kuwa Legacy ya uongozi wake kwa vizazi vijavyo



  • Nilicheka sana na wakati huu huu nilisikitika sana  na natamani kufahamu CV yake


Hebu Tuijadili tunavyoelekea katika uchaguzi wa mwaka 2015

1 comment:

  1. mimi nafikiri huyu mheshimiwa ingefurahisha sana kama angekuwa anaimba bongo flava, kwani ana kipaji sana ya kupangilia maneno; tatizo moja kubwa maneno mengi aliyokuwa anayasema kwa kweli ni aibu sana kuyasema kwa mtu mheshimiwa kama yeye;

    ReplyDelete