Monday, October 29, 2012

NI KWELI KUWA CCM INAJIMALIZA YENYEWE?



  • Mheshimiwa Ole Sendeka ametoa mchango mkubwa sana katika hoja yake ambayo ikichukuliwa kwa umakini wake inaweza sana saidia kuimarisha Chama cha Mapinduzi wakati huu wa ushindani mkubwa wa kisiasa;



  • Nina imani kuwa Mheshimiwa Kikwete anaweza kukinusuru chama chake kam kwanza atafanikiwa kuwatambua maadui wa ndani ambao ndio wabaya kuliko maadui wa nje,


wewe unasemaje tujadili?

1 comment:

  1. mmmm CCM wanamtihani mkubwa sana, they need to look for permanent solutions; tatizo la rushwa na inaonekana kuna unafiki sana ambao unaendelea ndani miongoni mwa wananchama wenyewe.
    hii ni analysis nzuri ambayo Mheshimiwa Ole ameiona inabidi kweli CCM wasipuuze wazo hili.

    ReplyDelete