Saturday, October 27, 2012

kiongozi wa serikali anaposhemsha engine ya ubongo wake

Picture

source: katuni via GPL

  • Je kiongozi wa namna hii bado ansastahili kuendelea kushika madaraka;

  • Je ni vigezo gani vilitumika kumpa madaraka kama hayuko makini katika kusoma hotuba yake ambayo pengine ameikariri kwa wiki nzima na akachanganywa ubongo kidogo tu na mjumbe aliyemtangulia kutoka zimbabwe kama kweli maelezo ya utetezi wake unakidhi haja.

  • Mheshimiwa Kikwete kazi unayo kama viongozi wetu ndo wako hivi basi tusitegemee maisha bora kwa kila mtu ndani ya muda mfupi.
wadau mnasemaje?

1 comment:

  1. Kwa kweli viongozi wetu kwa utaratibu huu wanalitia aibu taifa na hata yule aliye mpa nafasi hii anajisikia vibaya sana. Sijeelewa tatizo la huyu Mheshimiwa lilikuwa nini. Tunawaomba viongozi wetu kuwa makini hasa katika uwakilishi wa kimataifa.

    ReplyDelete