Sunday, October 28, 2012

JE UTEUZI WA VIONGOZI WETU KATIKA NGAZI MBALIMBALI UNAFUATA SIFA GANI



  • Jenerali Ulimwengu anahoja hapa ikiiangalia kwa makini



  • Washauri wa viongozi wetu wa juu wana nafasi gani katika kushauri uendeshaji wa Serikali?



  • Ni kweli kuwa Marekebisho ya katika ijayo itaweza kuliona hili na kulijadili kwa faida na Taifa na sio watu wachache?


Hebu tutathimini hoja hii na tuijadili

1 comment:

  1. nimeipenda posti hii ikionyesha mapungufu ya viongozi wa ngazi za juu ambao kwa upande mmoja chanzo ni katiba ambayo imewapa uwezo mkubwa wa kufanya hivyo; pengine katiba mpya tuuzibe mwanya huu wa madaraka pindukizi kwa wakuu wetu.

    ReplyDelete